HAPPY B'DAY MADIBA |
Home Unlabelled
By burudanibuzz At July 17, 2013 0
Tarehe 18 Julai 2013 mzee Nelson Mandela anatimiza miaka 95. Mwanaharakati huyo ambaye mpaka sasa yuko hospitalini akiendelea na matibabu anasumbuliwa na mapafu. Mzee Mandela alipigania uhuru wa Afrika Kusini ambapo kabla ya kupata uhuru mwaka 1994 alikaa gerezani kwa zaidi ya miaka 20.