NILIMBAKISHA LAMPS ENGLAND-MOURINHO

 

The Special One Jose Mourinho amekiri kumshawishi kiungo wa Chelsea Frank Lampard kuendelea
 kubaki EPL. Mourinho ambaye amerejea kuifundisha Chelsea msimu huu baada ya kuondoka mwaka 2007, ameeleza hayo katika mkutano wa waandishi wa habari hii leo. Lampard alikaribia kuondoka kwenda Marekani baada ya sera za kupunguza wachezaji wenye umri mkubwa kuanza Chelsea.
Mourinho amedokeza kuwa pamoja na kutokuwa na mawasiliano na klabu ya Chelsea aliendelea kuwasiliana na Lampard kama rafiki na alimshauri kutoondoka ligi kuu Uingereza. 

"I was telling him, the way I know you - don't go to American soccer. You are a player who needs to compete every week at the highest level, you are a player that needs to be in real competition."
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates