Home Unlabelled
By burudanibuzz At July 29, 2013 0
Familia ya mwanasoka John Terry inaonekana kuwa moja ya familia yenye vituko vingi visivyoisha. John Terry amekuwa na wakati mgumu kwenye ndoa yake pamoja na maisha yake ndani ya uwanja, wazazi wake nao hawako nyuma. Baba yake Terry mara kadhaa amekuwa na kesi nyingi mahakamani na mara kadhaa amekutwa akicheza kamari kama mwanae. Cheki hii picha ya Mama yake John Terry akiwa amelewa chakari.
Mwaka 2009 mama huyo alituhumiwa kuiba vitu vyenye thamani ya Euro 800 huku mwanae akipokea mshahara wa takribani Euro 150,000 kwa wiki