Baada ya kunyakua tuzo mbili za PFA Gareth Bale amepata tuzo nyingine. Bale ambaye amekuwa katika kiwango cha kutisha amepewa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka kutoka Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (FWA). Asilimia 53 ya wandishi hao walimpigia kura Bale, asilimia 43 za kura zilienda kwa Robin Van Persie waManchester United.
Home Unlabelled NI BALE TENA