BRAND NEW T-PAIN

NEW LOOK


GONE HAIR
Anaitwa Faheem Rasheed Najma a.k.a T-PAIN msanii ambaye alikuwa Konvict kabla ya kuhamia YMCB ameamua kunyoa rasta ambazo zilikuwa kama utambulisho wake. T-PAIN pia maetangaza ujio wa albamu yake mpya itakayoitwa  Stoicville.
OLD T-PAIN
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates