Home Unlabelled KERRY HILSON KUJA BONGO DESEMBA
KERRY HILSON KUJA BONGO DESEMBA
By burudanibuzz At November 17, 2012 0
Inaonekana kama Bongo itaanza kuonekana baada ya mwanadada Kerry Hilson ku-tweet kuwa anatarajia kudondoka Bongoland mid-December mwaka huu. Mwanadada huyo ambae ametamba na ngoma kali km Pretty Girl Rock, Knock u Down, Slow dance, One Night stand na nyinginezo ana fans kibao ulimwenguni kote na anasifika kwa kuwajibika jukwaani awapo kwenye shows. Its tym kujipanga fo Kerry`s fans