BEYONCE SUPPORTING OBAMA



OBAMA VS ROMNEY
HERENI ZA BEYONCE


Mwanamuziki mahiri wa R n B, Beyonce Knowles ameonesha support yake kwa Rais Barrack Obama baada ya mwanadada huyo kuonekana amevaa hereni zenye jina OBAMA. Beyonce mwenye fans zaidi ya milioni 39 katika mtandao wa Facebook inasemekana amemuongezea Obama kura kibao kwani mashabiki wake watamfuata kumpigia Obama. Obama anawania kuingia madarakani kumalizia kipindi chake cha miaka 4 akichuana na Mitt Romney. Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika tarehe 26 Novemba mwaka huu.
BEYONCE NA HERENI ZAKE

Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates