MSANII BORA WA KIUME Soul/R&B:USHER
Home Unlabelled AMA AWARDS
AMA AWARDS
By burudanibuzz At November 19, 2012 0
Jana tarehe 18, America Music Awards zilifanyika ambapo Justin Bieber alizoa tuzo 3 na kumfanya msanii alieshind tuzo nyingi ktk usiku huo. List ya washindi AMA 2012
MSANII BORA WA KIUME Soul/R&B:USHER
MSANII WA MWAKA:JUSTIN BIEBER
CHIPUKIZIr: CARLY RAE JEPSEN
MSANII BORA WA KIUME - Pop/Rock:JUSTIN BIEBER
MSANII BORA WA KIKE - Pop/Rock: KATTY PERRY
BENDI/ KUNDI BORA - Pop/Rock: MAROON 5
ALBUM BORA - Pop/Rock: "BELIEVE" - JUSTIN BIEBER
MSANII BORA WA KIUME - Country:LUKE BRYAN
MSANII BORA WA KIKE - Country: TAYLOR SWIFT
BENDI/KUNDI BORA - Country: LADY ANTEBELLUM
ALBAMU BORA - Country: "BLOWN AWAY" - CARRIE UNDERWOOD
MSANII BORA - Rap/Hip-Hop:NICKI MINAJ
ALBAMU BORA - Rap/Hip-Hop: "PINK FRIDAY: ROMAN RELOADED" - NICKI MINAJ
MSANII BORA WA KIKE - Soul/R&B: BEYONCE KNOWLES
ALBAMU BORA - Soul/R&B: "TALK THAT TALK" - RIHANNA
MSANII BORA - Alternative Rock: LINKIN PARK
MSANII BORA - Adult Contemporary:ADELE
MSANII BORA - Latin: SHAKIRA
MSANII BORA WA Contemporary Inspirational: tobyMac
MSANII BORA- Electronic Dance Music (EDM): DAVID GUETTA
MSANII BORA WA KIUME Soul/R&B:USHER