CHELSEA STILL AT THE TOP

Klabu ya soka ya Chelsea imeendelea kushika usukani ktk ligi kuu England baada ya kuitandika Norwich City 4-1. Norwich walianza vizuri baada ya kupata goli la kuongoza kupitia kwa Grant Holt. Fernando Torres aliendelea kutoa gundu baada ya kuisawazishia Chelsea na baadae Frank Lampard,Eden Hazard na beki Branislav Ivanovic walihitimisha idadi ya mabao 4!!!!!



Matokeo mengine mechi za leo ni Swansea 2 Reading 2,Man City 3 Sunderland 0,West Brom 3 QPR 2,Wigan 2 Everton 2
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates