PICHA MPYA ZA BEYONCE HIZI HAPA











Kumekuwa na uvumi unaoendelea kuhusu ndoa Beyonce na mumewe Jay z hasa baada ya tuhuma za Jay kutembea nje ya ndoa huku Beyonce akituhumiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mlinzi (body guard) wake. Huku mambo yakionekana kutowaendea vizuri wanandoa hao, Beyonce amepost picha mbalimbali moja ikimwonyesha Jay Z akiwa na mtoto wao Blue Ivy lakini haiondoi uvumi wa wanandoa hao kupanga kupigana chini siku si nyingi zijazo. Kwa mujibu wa mitandao mbalimbali nchini Marekani huenda Beyonce akatangaza kuvunjika kwa ndoa yao kwenye tuzo za MTV zitakazofanyika August 24 mwaka huu.

http://owinobuzz.blogspot.com/2014/08/picha-mpya-za-beyonce-hizi-hapa.html
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates