BALOTELLI HUYOOO BRAZIL, ATAJWA KIKOSINI ITALIA


Mwaka 2006 waliifunga Ufaransa na kuibuka mabingwa wa Kombe la Dunia na mwaka huu wanaelekea kombo la dunia kwa kumbukumbu nzuri ya walichokifanya Euro 2012. Kocha wa timu ya taifa ya Italia, Cesare Prandeli. Kikosi kilichotajwa kimejumuisha majina maarufu likiwamo la mshambuliaji wa AC Milan Mario Balotelli. Kikosi hicho cha wachezaji 30 hiki hapa.

 MAKIPA
Gianluigi Buffon (Juventus)
Salvatore Sirigu (PSG)
 Mattia Perrin (Genoa)

 WALINZI
 Ignazio Abate (AC Milan)
Andrea Barzagli (Juventus)
 Leandro Bonucci (Juventus)
 Giorgio Chiellini (Juventus)
Matteo Darmian (Torino)
 Mattia De Sciglio (AC Milan)
 Christian Maggio (Lazio)
 Gabriel Paletta (Parma)
 Manuel Pasqual (Fiorentina)
 Andrea Ranocchia (Inter Milan)

 VIUNGO
 Alberto Aquilani (Fiorentina)
 Antonio Candreva (Lazio)
 Daniele De Rossi (AS Roma)
 Claudio Marchisio (Juventus)
 Riccardo Montolivo (AC Milan)
 Marco Parolo (Parma)
 Andrea Pirlo (Juventus)
 Thiago Motta (PSG)
 Romulo (Verona)
 Marco Verratti (PSG)

 WASHAMBULIAJI
 Mario Balotelli (AC Milan)
 Antonio Cassano (Parma)
 Alessio Cerci (Torino)
 Mattia Destro (AS Roma)
 Ciro Immobile (Torino)
 Lorenzo Insigne (Napoli)
 Giuseppe Rossi (Fiorentina)
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates