SUAREZ MCHEZAJI BORA LIGI KUU UINGEREZA 2013/2014

Licha ya timu yake ya Liverpool kupoteza hapo jana mbele ya Chelsea, mshambuliaji Luis Suarez ameibuka mchezaji bora ligu kuu ya Uingereza inayotelewa na chama cha wanasoka wa kulipwa yaani Professional Footballers Association (PFA). Suarez amechukua tuzo hiyo huku mchezai wa Chelsea Eden Hazard akiibuka mchezaji kinda kwenye kinyang'anyiro hicho.Suarez alichuana na Yaya Toure, Eden Hazard, Adam Lallana,Steven Gerrard na Daniel Sturridge.
Kwa upande wa mchezaji bora kinda/ aliyechipukia msimu huu, Eden Hazard alikabiliana na upinzani kutoka kwa Raheem Sterling, Daniel Sturridge, Aaron Ramsey, Ross Barkley pamoja na Luke Shaw. Msimu uliopita Graeth Bale alishinda tuzo zote ya mchezaji aliyechipukia paoja na mchezaji bora wa mwaka.
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates