Tuzo kubwa za muziki barani Afrika MTVMAMA zinatarajiwa kufanyika June 7
saba mwaka huu na majina ya wasanii watakaowania tuzo mbalimbali
yametajwa. Kam ilivyotarajiwa tuzo hizo zina majina mengi kutoka Nigeria
zaidi ya nchi nyingine Afrika na mwaka huu Tanzania itawakilishwa na
mwanamuziki Diamond Platnumz ambaye collabo yake na Davido imechaguliwa
kuwania tuzo kama wimbo bora wa kushirikiana (Best collaboration) na pia
Diaomond mwenyewe amechaguliwa kuwania msanii bora wa mwaka bora wa
kiume akichuana na Wizkid,Davido, Donald na Anselmo Ralph. Kura zitapigwa mpaka tarehe 4 mwezi wa sita (June) baada ya kuanza kupigwa hapo jana.
Best Male
Anselmo Ralph (Angola)
Davido (Nigeria)
Diamond (Tanzania)
Donald (South Africa)
Wizkid (Nigeria)
Best Female
Arielle T (Gabon)
Chidinma (Nigeria)
DJ C’ndo (South Africa)
Efya (Ghana)
Tiwa Savage (Nigeria)
Best Group
Big Nuz (South Africa)
Mafikizolo (South Africa)
Mi Casa (South Africa)
P Square (Nigeria)
Sauti Sol (Kenya)
Best Live Act
2face (Nigeria)
Fally Ipupa (DRC)
Flavour (Nigeria)
Dr Malinga (South Africa)
Zakes Bantwini (South Africa)
Best Collaboration
Amani ft Radio and Weasel – ‘Kiboko Changu’ (Kenya/Uganda)
Diamond feat Davido – ‘Number One’ (Remix) (Tanzania/Nigeria)
Mafikizolo feat May D – ‘Happiness’ (South Africa/Nigeria)
R2bees feat Wizkid – ‘Slow Down’ (Ghana/Nigeria)
Uhuru feat DJ Buckz, Oskido, Professor, Yuri Da Cunha – ‘Y-tjukutja’ (South Africa/Angola)
Artist of the Year
Davido (Nigeria)
Mafikizolo (South Africa)
Mi Casa (South Africa)
P Square (Nigeria)
Uhuru (South Africa)
Song of the Year
Davido- ‘Skelewu’ (Nigeria)
DJ Clock feat Beatenberg – ‘Pluto’ (Remember Me) (South Africa)
DJ Ganyani feat FB – ‘Xigubu’ (South Africa)
DJ Kent feat The Arrows –‘Spin My World Around’ (South Africa)
Dr Sid feat Don Jazzy – ‘Surulere’ (Nigeria)
KCee – ‘Limpopo’ (Nigeria)
Mafikizolo feat Uhuru ‘Khona’ (South Africa)
Mi Casa- ‘Jika’ (South Africa)
P Square – ‘Personally’ (Nigeria)
Yuri Da Cunha -‘Atchu Tchu Tcha’ (Angola)
Best Hip Hop
AKA (South Africa)
Ice Prince (Nigeria)
Khuli Chana (South Africa)
Olamide (Nigeria)
Sarkodie (Ghana)
Best Pop
Danny K (South Africa)
Fuse ODG (Ghana)
Goldfish (South Africa)
LCNVL (South Africa)
Mathew Mole (South Africa)
NON MUSIC CATEGORIES
Personality of the Year
Chimamanda Adiche (Nigeria)
Omotola Jalade Ekeinde (Nigeria)
Trevor Noah (South Africa)
Lupita Nyong’o (Kenya)
Yaya Toure (Cote d’Ivoire)
Transform Today by Absolut
Anisa Mpungwe (Tanzania)
Clarence Peters (Nigeria)
I See a Different You (South Africa)
Leti Arts (Ghana)
Rasty (South Africa)