T.I AMALIZA BIFU LA RICK ROSS, YOUNG JEEZY.

Mwanahip hop Clifford Harris(T.I) amefanikiwa kumaliza hali ya kutokuelewana kati ya Rick Ross na msanii mwenzake wa Hi Hop, Young Jeezy. Wasanii hao wawili wamekuwepo kweny bifu la muada mrefu ambapo kwa sasa inaonekana wameamua kuweka tofauti zao pembeni huku vyanzo mbalimbali vikidai T.I kuhusika kwa kiasi kikubwa kufanya jamaa waelewane. Young Jeezy atakuwepo kwenye albamu mpya ya Rozay aliyoipa jina Mastermind inayotarajiwa kudondoka kitaa tarehe 4 mwezi ujao.Ngoma ambayo Young Jeezy ameshirikishwa inaitwa War ready na imetengenezwa na prodyuza anayekuja kwa kasi Mike WillMadeIt.
Kupitia akaunti yake ya twitter, prodyuza Mike WillMadeIt ametweet
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates