Home Unlabelled OPRAH
OPRAH
By burudanibuzz At August 13, 2013 0
Story ya mwanamama tajiri na maarufu ulimwenguni Oprah Winfrey kubaguliwa nchini Uswisi ilibamba sana kwenye headlines za vyombo vingi vya habari ulimwenguni mpaka ikabidi serikali ya Uswisi iombe radhi kwa kitendo hicho. Taarifa za hivi karibuni zinadai muuzaji wa duka aliyemwambia Oprah kuwa begi lilikua la gharama na mwanamama huyo asingeweza kumudu amekanusha kutoa maneo hayo ya kuudhi kwa Oprah ambaye ni moja kati ya wanawake maarufu zaidi duniani.