MASHABIKI MAN U MASIKITIKO


Huku taarifa za kumpoteza mshambuliaji wao mahiri Wayne Rooney kuendelea kushika kasi mashabiki wa Man United wamepatwa na pigo jingine. Safari hii Cristiano Ronaldo mmoja kati ya wachezaji wanaohusudiwa sana na mashabiki wa United ameuza nyumba yake iliyopo Uingereza na kuwakatisha tamaa mashabiki hao waliokuwa na matumaini ya kurejea kwa nchezaji huyo.
Ronaldo ameiuza nyumba hiyo kwa paundi milioni 7.35.
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates