ISHU YA SALMAN & SHAH RUKH KUUA BIFU---CHEKI TWEETS

Baada ya bifu lao kuwepo kwa miaka mitano, waigizaji mahiri wa Bollywood Salman & Shah Rukh Khan wanaonekana kuzika tofauti zao.. Wawili hao ambao wengi hawakutarajia kuungana kwao wamekuwa wakikwepana katika shughuli mbalimbali lakini juzi mambo yalibadilika baada ya mastaa hao kukumbatiana kwenye pati iliyoandaliwa na mwanasia mahiri nchini humo. Cheki baadhi ya tweet watu wakielezea hisia zao kuhusu tukio hilo......
Designed by OddThemes | Distributed by Gooyaabi Templates