Sandra Teta mwanafunzi wa Independent Kigali University ndiye atakayeipepeusha bendera ya Rwanda katika mashindano ya Miss University Africa mwaka huu. Rwanda inashiriki mashindano hayo kwa mara ya kwanza na mashindano yatafanyika nchini Nigeria mwezi ujao. Mrembo huyo mwenye miaka 21 atachuana na warembo wengine 53 kutoka nchi mbalimbali za Afrika.
HOME SWEET HOME TANZANIA |
BURUNDI |
UGANDA |
KENYA |
AFRIKA KUSINI |
SAO TOME |