Ukiacha confession ya Rihanna kukiri kumpenda Chris some weeks zilizopita suala la Chris kumbusu Rihanna ilifanya RED LIGHT kuwaka kichwani mwa Karrueche na kuzua gumzo na mwisho ndo umefika na penzi hilo kuhitimishwa. Labda Chris MOYO WAKE ULIISHI KWA RIHANNA KWA KARRUECHE (UGENINI) MWILI PEKEE NDO ULKUEPO.
LOVE GONE BAD